📘 ❞ Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu ❝ كتاب ــ محمد صالح المنجد اصدار 2016

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 كتاب ❞ Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu ❝ ــ محمد صالح المنجد 📖

█ _ محمد صالح المنجد 2016 حصريا كتاب ❞ Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu ❝ عن موقع دار الإسلام 2024 Itikafu: Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu aliye juu mwingi wa kusamehe, sala na salamu ziwe ya Mtume wake mteule, na ziwe watu na maswahaba zake, na wote waliokuja baada yao, amma baad Hakika Mungu Mtukufu ameweka baadhi masiku kuwa bora kuliko mengine, na hakuna msimu wowote ulio ila Mwenyezi anaweka wadhifa wa kumtii, basi mtu mwenye mafanikio yule anaeitumia nafasi misimu miezi, masiku masaa, akajikurubisha kwa Mola ndani hayo, kwa kufanya twaa, huenda akapata mafanikio ndani ambayo yatampa amani kutokana moto jahanam Na miongoni mwa matendo makubwa yaliyo bora katika kumi mwisho ya mwezi mtukufu Ramadhan: Itikafu: ameitaja katika aya za swaum, amesema Mungu Mtukufu: {Wala msichanganyike nao (msiwaingilie), hali mnakaa Itikafu msikitini Hiyo mipaka Mwenyezi Mungu, msiikaribie Namna hivi Mwenyezi anabainisha Ishara zake kwa ili wapate kumcha} (Al baqrah: 187) K Kitabu hiki kina zungumzia kuhusu ibada kukaa itikafu, maana yake adabu masharti itikafu faida zake, pia kimelezea sehemu wakati mfanya kazi makosa wanaofanya كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna mmoja tu ambaye Allah Muhammad ndiye Mjumbe la pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu
كتاب

Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu

ــ محمد صالح المنجد

صدر 2016م عن موقع دار الإسلام
Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu
كتاب

Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu

ــ محمد صالح المنجد

صدر 2016م عن موقع دار الإسلام
حول
محمد صالح المنجد ✍️ المؤلف
المتجر أماكن الشراء
موقع دار الإسلام 🏛 الناشر
مناقشات ومراجعات
QR Code
عن كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu:
Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu
aliye juu mwingi wa kusamehe, sala na
salamu ziwe juu ya Mtume wake mteule, na
ziwe juu ya watu wake na maswahaba zake,
na wote waliokuja baada yao, amma baad.
Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ameweka
baadhi ya masiku kuwa bora kuliko mengine,
na hakuna msimu wowote ulio bora ila
Mwenyezi Mungu anaweka wadhifa bora wa
kumtii, basi mtu mwenye mafanikio ni yule
anaeitumia nafasi ya misimu ya miezi,
masiku na masaa, na akajikurubisha kwa
Mola wake ndani ya masiku hayo, kwa
kufanya twaa, huenda akapata mafanikio
ndani ya masiku hayo, ambayo yatampa
amani kutokana na moto wa jahanam.

Na miongoni mwa matendo makubwa yaliyo
bora katika masiku kumi ya mwisho ya
mwezi mtukufu wa Ramadhan:
Itikafu: Mwenyezi Mungu ameitaja katika
aya za swaum, amesema Mwenyezi Mungu
Mtukufu: {Wala msichanganyike nao
(msiwaingilie), na hali mnakaa Itikafu
msikitini. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi
Mungu, basi msiikaribie. Namna hivi
Mwenyezi Mungu anabainisha Ishara zake
kwa watu ili wapate kumcha}. (Al-baqrah:
187).
K

Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.
الترتيب:

#9K

0 مشاهدة هذا اليوم

#61K

0 مشاهدة هذا الشهر

#49K

6K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 28.