📘 ❞ Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ كتاب ــ أبو أمينة بلال فيليبس

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ ــ أبو أمينة بلال فيليبس 📖

█ _ أبو أمينة بلال فيليبس 0 حصريا كتاب Dini Ya Kweli Mwenyezi Mungu 2024 Mungu: Yaliyomo: • Ni Ipi? Jina La Na Uumbaji Ujumbe Wa Za Uwongo Ulimwengu Mzima Kumtambua Dalili Hitimisho ila mtu huzaliwa katika mazingira au hali ambayo si chaguo lake mwenyewe Hupachikwa dini ya familia yake au mtazamo wa taifa lake toka mwanzoni mwa kuwepo kwake katika dunia hii Wakati anapofikia ujana (miaka 13 – 20), kwa kawaida hulazimika kuamini kwamba imani jamii ndiyo imani sahihi kila anapaswa kuwa nayo Ingawa wakati fulani baadhi watu wanapokuwa wakubwa na wakaona imani nyingine huanza kuuliza kuhoji ukweli yao Wale wanaotafuta mara kwa hufikia mahali wakachanganyikiwa wanapogundua dini, dhehebu, au falsafa hudai ndio njia pekee iliyo mwanadamu, kwani makundi yote hayo yanahamasisha kufanya matendo mema Sasa ni ipi sahihi? Zote haziwezi sahihi, kwani moja hudai nyingine zote Sasa hiyo, yule anayetafuta vipi ataweza kuchagua iliyosahihi? Mwenyezi ametupa sote akili uwezo kutuwezesha kufanya maamuzi maana Nayo muhimu sana katika maisha mwanadamu Mustakabali wake unautegemea uamuzi huo, kufuatana hilo, mmoja wetu lazima achunguze ushahidi uliotolewa bila kupendelea ndipo achague kile kinachoonekana kuwa ni mpaka pale ushahidi mwingine utakapotokea Kama ilivyo falsafa, Uislamu nao unadai huo ndio kuelekea Katika hiyo kudai tofauti na mifumo mingine Kijitabu hiki kinakusudia kukupa juu ya ukweli dai hilo Hata hivyo, izingatiwe kwamba, anaweza kuipata kweli kuweka kando hisia na chuki, vitu ambavyo hutupofua tusiuone Kisha, baada hivyo tu, tutakapoweza kutumia akili zetu tulizopewa kiakili na yaliyo sahihi? Kuna hoja mbali ambazo zinaweza kutolewa ili kulipa nguvu dai la Kiislamu كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana kuna tu ambaye Allah Muhammad ndiye Mjumbe pili kubwa ulimwenguni Nguzo za Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu
كتاب

Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu

ــ أبو أمينة بلال فيليبس

Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu
كتاب

Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu

ــ أبو أمينة بلال فيليبس

عن كتاب Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu:
Yaliyomo:
• Ni Ipi?
• Jina La Dini
• Mwenyezi Mungu Na Uumbaji
• Ujumbe Wa Dini Za Uwongo
• Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima
• Kumtambua Mwenyezi Mungu.
• Dalili Za Mwenyezi Mungu.
• Hitimisho


ila mtu huzaliwa katika mazingira au hali ambayo si chaguo
lake mwenyewe. Hupachikwa dini ya familia yake au
mtazamo wa taifa lake toka mwanzoni mwa kuwepo kwake
katika dunia hii. Wakati anapofikia ujana wa (miaka 13 – 20), kwa
kawaida hulazimika kuamini kwamba imani ya jamii yake ndiyo
imani sahihi ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo. Ingawa wakati
fulani baadhi ya watu wanapokuwa wakubwa na wakaona imani
nyingine huanza kuuliza na kuhoji ukweli wa imani yao. Wale
wanaotafuta ukweli mara kwa mara hufikia mahali
wakachanganyikiwa wanapogundua kwamba kila dini, dhehebu, au
falsafa hudai ndio njia pekee iliyo sahihi kwa mwanadamu, kwani
makundi yote hayo yanahamasisha watu kufanya matendo mema.
Sasa ni ipi imani sahihi? Zote haziwezi kuwa sahihi, kwani kila moja
hudai kuwa nyingine zote si sahihi. Sasa katika hali hiyo, yule
anayetafuta ukweli vipi ataweza kuchagua njia iliyosahihi?
Mwenyezi Mungu ametupa sote akili na uwezo wa kutuwezesha
kufanya maamuzi sahihi na ya maana. Nayo ni maamuzi muhimu sana
katika maisha ya mwanadamu. Mustakabali wake unautegemea uamuzi huo,
kufuatana na hilo, kila mmoja wetu lazima achunguze ushahidi
uliotolewa bila kupendelea ndipo achague kile kinachoonekana kuwa
ni sahihi mpaka pale ushahidi mwingine utakapotokea.
Kama ilivyo kwa kila dini au falsafa, Uislamu nao unadai kuwa huo
ndio njia ya pekee iliyo sahihi kuelekea kwa Mwenyezi Mungu.
Katika hali hiyo ya Uislamu kudai kuwa ni njia sahihi si tofauti na
mifumo mingine. Kijitabu hiki kinakusudia kukupa ushahidi juu ya
ukweli wa dai hilo. Hata hivyo, mara zote ni lazima izingatiwe
kwamba, mtu anaweza kuipata njia ya kweli kwa kuweka kando hisia
na chuki, vitu ambavyo mara kwa mara hutupofua tusiuone ukweli.
Kisha, baada ya kufanya hivyo tu, ndipo tutakapoweza kutumia akili
zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufanya maamuzi ya kiakili na
yaliyo sahihi?
Kuna hoja mbali mbali ambazo zinaweza kutolewa ili kulipa nguvu
dai la Kiislamu kuwa ndio dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu.
الترتيب:

#8K

0 مشاهدة هذا اليوم

#49K

8 مشاهدة هذا الشهر

#31K

8K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 21.
المتجر أماكن الشراء
أبو أمينة بلال فيليبس ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث