📘 ❞ RIBAA ❝ كتاب ــ صالح بن فوزان الفوزان

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب RIBAA ❝ ــ صالح بن فوزان الفوزان 📖

█ _ صالح بن فوزان الفوزان 0 حصريا كتاب RIBAA 2024 RIBAA: Mada ya muhadhara ni kama mlivyosikia, ribaa na biashara za haramu au zilizokatazwa Ni mada ndefu ila tutajaribu kuifupisha huenda tukaikamilisha siku nyingine Kwa kuwa watu wana haja kubwa mada kama hii Ribaa, Allaah Katoa makemeo makali sana katika kitabu Chake Kitukufu Kasema (Ta’ala): “Wale walao hawasimami anavyosimama aliyezugwa na shaytwaan kwa kumgusa Hayo wamesema: “Biashara kama ribaa Lakini Ameihalalisha Ameiharimisha Basi aliyefikiwa mawaidha kutoka Mola Wake, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyokwisha pita, mambo yako Na wenye kurudia basi hao ndio wa Motoni, humo watadumu ” [Al Baqarah 02: 275] “Allaah Huiondolea baraka ribaa, huzibariki swadaqah Allaah Hampendi kila [kaffar] mwenye kukanya afanyae dhambi Hakika wale walioamini wakatenda mema wakasimamisha Swalah wakatoa Zaakah, wao watapata ujira Wao, wala haitakuwa khofu juu yao, hawatohuzunika 276 277] “Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, acheni zilizobakia, ikiwa nyinyi ni Waumini Basi mkitofanya jitangazieni vita Mtume Wake Na mkitubu, haki yenu rasilmali zenu Msidhulumu msidhulumiwe ” [Al 278 279] “Na akiwa (mdaiwa) ana shida, (mdai) angoje mpaka afarijike Na mkiifanya deni swadaqah, bora kwenu, mnajua Baqarah 280] كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna Mungu mmoja tu ambaye Allah Muhammad ndiye Mjumbe Mwenyezi la pili ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume wake Siku Mwisho kuongezea, wanaimarisha hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
RIBAA
كتاب

RIBAA

ــ صالح بن فوزان الفوزان

RIBAA
كتاب

RIBAA

ــ صالح بن فوزان الفوزان

عن كتاب RIBAA:
Mada ya muhadhara ni kama mlivyosikia, ribaa na biashara za haramu au
zilizokatazwa. Ni mada ndefu ila tutajaribu kuifupisha na huenda
tukaikamilisha siku nyingine. Kwa kuwa watu wana haja kubwa ya mada
kama hii. Ribaa, Allaah Katoa makemeo makali sana katika kitabu Chake
Kitukufu. Kasema Allaah (Ta’ala):



“Wale walao ribaa hawasimami ila kama anavyosimama aliyezugwa na
shaytwaan kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: “Biashara ni kama
ribaa. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha ribaa. Basi
aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola Wake, kisha akajizuia, basi yake ni
yaliyokwisha pita, na mambo yake yako kwa Allaah. Na wenye kurudia basi
hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.” [Al-Baqarah 02: 275].




“Allaah Huiondolea baraka ribaa, na huzibariki swadaqah. Na Allaah
Hampendi kila [kaffar] mwenye kukanya na afanyae dhambi. Hakika wale
walioamini na wakatenda mema na wakasimamisha Swalah na wakatoa
Zaakah, wao watapata ujira wao kwa Mola Wao, wala haitakuwa khofu juu
yao, wala hawatohuzunika.” [Al-Baqarah 02: 276-277].




“Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni ribaa zilizobakia, ikiwa nyinyi ni
Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita Allaah na Mtume Wake. Na
mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.”
[Al-Baqarah 02: 278-279].



“Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na

mkiifanya deni kuwa ni swadaqah, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.” [Al-
Baqarah 02: 280].



الترتيب:

#5K

0 مشاهدة هذا اليوم

#48K

8 مشاهدة هذا الشهر

#40K

7K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 19.
المتجر أماكن الشراء
صالح بن فوزان الفوزان ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث