📘 ❞ KUFICHUA YENYE UTATA ❝ كتاب ــ محمد بن عبد الوهاب اصدار 2013

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب KUFICHUA YENYE UTATA ❝ ــ محمد بن عبد الوهاب 📖

█ _ محمد بن عبد الوهاب 2013 حصريا كتاب KUFICHUA YENYE UTATA 2024 UTATA: Bismillaah Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu na ardhi na vilivyomomo ndani yake Ni peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa haki kutoshirikishwa kitu chochote katika ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa mfano ambaye Hafananishwi Na Swalah salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa Maswahabah wake na kila wenye kuwafuata kwa wema siku ya Qiyaamah Amma ba ́ad: Hakika ndio msingi Uislamu uliyojengwa juu Na hapana shaka ni jambo muhimu Muislamu kuijua kuitekeleza kuwa haitokubaliwa yoyote bila wala hazitokubaliwa ́amali ya Muislamu ikiwa haitokuwa kumpwekesha Allaah kwenda kulingana na mafundisho (na hatopata Shafaa ́ah (uombezi) ila yule aliyekuwa msimamo katoa ahadi atakayekuwa neno lake la katika ulimwengu huu ni Kalimat at “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi Twamuomba Atukhatimishe Hakika umuhimu mkubwa lengo kubwa walilotumilizwa nalo Mitume likawafanya wasafiri miji mbali ajili kufikisha Ujumbe watu mitihani iliyowapata, mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea kuifikisha Mmoja wao akiwa Mujaddid karne, yeye Shaykh bin ́Abdil Wahhaab (Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yajulikana alivyoisafisha bara Arabu na ushirikina pamoja vita alivyopigwa akaweza kufaulu moja kazi aliyoifanya kulingania Tawhiyd, aliandika vitabu mbali vya vilivyopendwa Moja wapo Kitabu hiki cha Kashf ush Shubuhaat ambacho amefichukua kuweka wazi shubuha (utata) wa washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo Kitabu ambacho kimeshereheshwa kufafanuliwa Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al Akh Abu Bakr Khatwiyb Atrush as Salafiy amuhifadhi kumuongoza sisi sote njia hii iliyonyooka kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu lugha kiswahili, ili wanufaike Kashf Shubuhaat Shaykh ul Islaam Wahhaab kinazunguzia kufichua kuyaweka mambo yenye utata كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kuna Mungu mmoja tu Allah ndiye Mjumbe Mwenyezi pili ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vyake, Mitume wake Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini uovu Kufanya hivyo " pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
KUFICHUA YENYE UTATA
كتاب

KUFICHUA YENYE UTATA

ــ محمد بن عبد الوهاب

صدر 2013م
KUFICHUA YENYE UTATA
كتاب

KUFICHUA YENYE UTATA

ــ محمد بن عبد الوهاب

صدر 2013م
عن كتاب KUFICHUA YENYE UTATA:


Bismillaah. Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu
na ardhi na vilivyomomo ndani yake. Ni Yeye peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa
haki na kutoshirikishwa na kitu chochote katika ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa na mfano
ambaye Hafananishwi na kitu chochote.
Na Swalah na salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama
kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za
maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa na Maswahabah wake
na kila wenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́ad:
Hakika Tawhiyd ndio msingi wa Uislamu uliyojengwa juu yake. Na hapana shaka ni
jambo muhimu kwa kila Muislamu kuijua na kuitekeleza kwa kuwa haitokubaliwa
́Ibaadah ya Muislamu yoyote bila ya Tawhiyd na wala hazitokubaliwa ́amali ya
Muislamu ikiwa haitokuwa ya kumpwekesha Allaah wala kwenda kwa kulingana na
mafundisho ya Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (na wala hatopata Shafaa ́ah
(uombezi) wa Mtume Muhammad ila yule aliyekuwa katika msimamo wa Tawhiyd.
Na katoa ahadi Mtume kuwa yoyote atakayekuwa neno lake la mwisho katika
ulimwengu huu ni Kalimat at-Tawhiyd “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi.
Twamuomba Allaah Atukhatimishe juu ya msimamo wa Tawhiyd.
Hakika umuhimu wa Tawhiyd ni mkubwa na ndio lengo kubwa walilotumilizwa nalo
Mitume likawafanya Maswahabah wasafiri miji mbali mbali kwa ajili ya kufikisha
Ujumbe huu wa Tawhiyd kwa watu mbali na mitihani mbali mbali iliyowapata,
mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea na kuifikisha. Mmoja wao
akiwa ni Mujaddid wa karne, yeye ni Shaykh Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab
(Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yake yajulikana na alivyoisafisha bara Arabu na
ushirikina pamoja na vita alivyopigwa mpaka akaweza kufaulu. Na moja ya kazi
aliyoifanya mbali na kulingania watu katika Tawhiyd, aliandika vitabu mbali mbali

vya Tawhiyd vilivyopendwa na watu. Moja wapo ni Kitabu hiki cha Kashf-ush-
Shubuhaat. Kitabu ambacho amefichukua na kuweka wazi shubuha (utata) wa

washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo. Kitabu
ambacho kimeshereheshwa na kufafanuliwa na wanavyuoni mbali mbali.

Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al-Akh Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush as-
Salafiy Allaah amuhifadhi na kumuongoza yeye na sisi sote katika njia hii iliyonyooka

kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu hiki kwa lugha ya kiswahili, ili wanufaike

Kashf-ush-Shubuhaat

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab









Kitabu hiki kinazunguzia kufichua kuyaweka wazi mambo yenye utata
الترتيب:

#253

0 مشاهدة هذا اليوم

#53K

12 مشاهدة هذا الشهر

#35K

7K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 43.
المتجر أماكن الشراء
محمد بن عبد الوهاب ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث