📘 ❞ AQIDATUL WASITWYYAH ❝ كتاب ــ أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 كتاب ❞ AQIDATUL WASITWYYAH ❝ ــ أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني 📖

█ _ أبو العباس أحمد بن عبد الحليم السلام تيمية الحراني 0 حصريا كتاب ❞ AQIDATUL WASITWYYAH ❝ 2024 WASITWYYAH: Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,( ahli zake, Maswahabah wake kila mwenye kufuata mienendo yao Amma ba ́ad: Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al us Sunnah wal Jamaa ́ah, kiitwacho “al ́Aqiydah al Waasitwiyyah” alichokiandika Shaykh ul Islaam Ahmad bin ́Abdil Haliym ́Abdis Salaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H Sababu kuandika hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika mji Waasitw akamshtakia uharibifu upotofu uliopo katika mji wao katika upande Majina Allaah Sifa Zake Akaandika hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi ́tiqaad sahihi Ahl us ́ah mambo ambayo waliyozama nayo watu Bid Hakika ambacho kilichokusanya mfumo Jamaa Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku zote maisha yake, kwamba ndio Kitabu ni dalili tosha kuonesha umuhimu Ummah Kiislamu kule kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kushereheshwa wanazuoni wa Kiislamu mbalimbali zama tofautitofauti, na kusomeshwa ulimwengu tokea hizo mpaka leo na mpaka utakapomalizika Na nazidi kumshukuru (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kuwa kijana chetu mpendwa – Amuhifadhi Akh Abu Bakr Khatwiyb Amesimama na kukifasiri lugha Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na kujua misingi Ampe kula kheri hapa duniani huko Aakhirah Aijaalie ́amali hii iwe Swadaqat un Jaariyah mzee alokwenda mbele haki Amrahamu na Amuweke mahali pema Na yeye ampe afya njema Ikhlaasw hima kuendelea kufanya kazi uandishi nyinginezo za Da ́wah mujtamaa wa unufaike Amuwekee mizani hasanati zake Wa SwallaAllaahu ́alaa alihi Aswhaabihi Sallam kinazunguzia mas’ala Aqidah Tawhid كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna Mungu tu ambaye Allah ndiye Mjumbe Mwenyezi pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
AQIDATUL WASITWYYAH
كتاب

AQIDATUL WASITWYYAH

ــ أَحْمَدُ بْنُ تيميَّة

AQIDATUL WASITWYYAH
كتاب

AQIDATUL WASITWYYAH

ــ أَحْمَدُ بْنُ تيميَّة

حول
أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني ✍️ المؤلف
المتجر أماكن الشراء
مناقشات ومراجعات
QR Code
عن كتاب AQIDATUL WASITWYYAH:
Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,(
ahli zake, Maswahabah wake na kila mwenye kufuata mienendo yao. Amma
ba ́ad:

Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al-
us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, kiitwacho “al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah”

alichokiandika Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin ́Abdil-Haliym bin ́Abdis-Salaam
Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H.
Sababu ya kuandika kitabu hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika
mji wa Waasitw akamshtakia Shaykh-ul-Islaam uharibifu na upotofu uliopo
katika mji wao katika upande wa I ́tiqaad ya Majina ya Allaah na Sifa Zake.
Akaandika kitabu hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi wa I ́tiqaad
sahihi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah katika mambo ambayo waliyozama nayo
watu katika Bid ́ah.

Hakika ni kitabu ambacho kilichokusanya mfumo sahihi wa Ahl-us-Sunnah wal-
Jamaa ́ah. Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku

zote katika maisha yake, kwa kwamba ́Aqiydah ndio msingi. Kitabu ambacho ni
dalili tosha ya kuonesha umuhimu wake katika Ummah wa Kiislamu kwa kule
kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kwa kushereheshwa na wanazuoni wa
Kiislamu wa Ahl-us-Sunnah mbalimbali katika zama tofautitofauti, bali na
kusomeshwa katika ulimwengu wa Kiislamu tokea zama hizo mpaka leo na
mpaka ulimwengu utakapomalizika.
Na leo nazidi kumshukuru Allaah (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kwa kuwa kijana
chetu mpendwa – Allaah Amuhifadhi – al-Akh Abu Bakr Khatwiyb. Amesimama
na kukifasiri kitabu hichi kwa lugha ya Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na
kujua misingi sahihi ya I ́tiqaad ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah. Allaah Ampe

kula la kheri hapa duniani na huko Aakhirah na Aijaalie ́amali hii iwe Swadaqat-
un-Jaariyah ya mzee wake alokwenda mbele ya haki. Allaah Amrahamu na

Amuweke mahali pema. Na yeye ampe afya njema na Ikhlaasw na hima
kuendelea kufanya kazi hii ya uandishi na nyinginezo za Da ́wah ili mujtamaa
wa Kiislamu unufaike na Amuwekee katika mizani ya hasanati zake.
Wa SwallaAllaahu ́alaa Muhammad wa ́alaa alihi wa Aswhaabihi wa Sallam.

Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah Tawhid
الترتيب:

#4K

0 مشاهدة هذا اليوم

#61K

11 مشاهدة هذا الشهر

#40K

7K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 51.