📘 ❞ HIJABU ❝ كتاب ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 كتاب ❞ HIJABU ❝ ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen 📖

█ _ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen 0 حصريا كتاب ❞ HIJABU ❝ 2025 HIJABU: Himdi zote ni za Allaah Tunamhimidi na kumuomba msaada msamaha Tunajikinga Kwake kutokana shari ya nafsi zetu matendo yetu maovu Yule mwenye kuongozwa Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, yule mwenye kupotezwa kumwongoza Ninashuhudia kwamba hapana mola wa haki isipokuwa ninashuhudia kwamba ni mja Mtume Wake amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake kila mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku Qiyaamah Amma ba ́d: Allaah (Ta ́ala) amemtuma (Swalla Allaahu ́alayhi sallam) uongofu dini haki ili kuwaondosha watu kutoka gizani kuwaongoza katika nuru, idhini ya Mola wao, kwenda njia [inayoelekeza kwa], Mwenye nguvu msifiwa Allaah ili aweze kuabudiwa Yeye mwenyewe kukamilisha udhalilikaji unyenyekevu (Tabaaraka Ta kutekeleza maamrisho Yake kujiepusha makatazo Yake kutanguliza hayo mbele matamanio na shahawa vilevile kutimiza tabia njema kulingania kwayo kutumia kila kubomoa mbaya kutahadharisha nazo kwa Kwa ajili hiyo ndio maana Shari ́ah yake sallam) imekamilika Haihitajii kiumbe mwenye kuikamilisha kuipanga Ni yenye mwingi hekima Mjuzi yale yote ambayo mema kwa waja kuwahurumia Mfano mmoja hizo nzuri alizotumwa nazo ni haya ameifanya kuwa sehemu imani al Hijaab Ibn ́Uthaymiyn Kitabu hii kinazunguzia hijabu muislam sifa hukumu كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna Mungu tu ambaye Allah ndiye Mjumbe Mwenyezi la pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume wake Siku Mwisho kuongezea, wanaimarisha hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
HIJABU
كتاب

HIJABU

ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

HIJABU
كتاب

HIJABU

ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

حول
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen ✍️ المؤلف
المتجر أماكن الشراء
مناقشات ومراجعات
QR Code
عن كتاب HIJABU:
Himdi zote ni za Allaah. Tunamhimidi na kumuomba msaada na msamaha.
Tunajikinga Kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Yule
mwenye kuongozwa na Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, na yule mwenye
kupotezwa na Allaah, basi hakuna awezae kumwongoza. Ninashuhudia ya kwamba
hapana mola wa haki isipokuwa Allaah na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni
mja na Mtume Wake. Allaah amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake na kila
mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
Amma ba ́d:
Allaah (Ta ́ala) amemtuma Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) na uongofu na dini ya haki
ili kuwaondosha watu kutoka gizani na kuwaongoza katika nuru, kwa idhini ya
Mola wao, kwenda katika njia [inayoelekeza kwa], Mwenye nguvu na msifiwa.
Allaah amemtuma ili aweze kuabudiwa Yeye mwenyewe kwa kukamilisha
udhalilikaji na unyenyekevu Kwake Allaah (Tabaaraka wa Ta ́ala) kwa kutekeleza maamrisho
Yake na kujiepusha na makatazo Yake na kutanguliza hayo mbele ya matamanio na
shahawa za nafsi. Allaah amemtuma vilevile ili kutimiza tabia njema na kulingania
kwayo kwa kutumia kila njia na kubomoa tabia zote mbaya na kutahadharisha nazo
kwa kutumia kila njia. Kwa ajili hiyo ndio maana Shari ́ah yake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam)
imekamilika kwa njia zote. Haihitajii kiumbe mwenye kuikamilisha na kuipanga. Ni
yenye kutoka kwa mwingi wa hekima na Mjuzi wa yale yote ambayo ni mema kwa
waja Wake na ni Mwenye kuwahurumia.
Mfano mmoja wa tabia hizo nzuri alizotumwa nazo Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ni
haya ambayo Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ameifanya kuwa ni sehemu katika imani.

al-Hijaab
Ibn ́Uthaymiyn

Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake.
#كتب_الدين_الاسلامى #كتب_الإسلام_. #كتب_إسلامية_متنوعة. #كتب_كتب_دينيه #كتب_الفقه_الإسلامي #كتب_كتب_إسلامية_. #كتب_فكر_اسلامى #كتب_أسلامي_. #كتب_اسلاميات #كتب_المرأة_المسلمة_. #كتب_حجاب_المرأة_المسلمة_. #كتب__الدراسات_الإسلامية #كتب_فقه_إسلامى #كتب_كتاب_اسلامي #كتب_الاسلامية #كتب_فلسفة_إسلامية_. #كتب_يثرب_الجديدة_الحركات_الإسلامية_الراهنة #كتب_الإسلامية_. #كتب_دروس_اسلامية_. #كتب_إسلامية_مترجمه #كتب_ثقافة_إسلامية_ #كتب_أسلامية_مترجمة #كتب_إسلامية__مترجمة_. #كتب_لماذا_يخافون_من_الإسلام؟ #كتب_كتب_اسلامية_باللغة_الانجليزية #كتب_إسلامية_مترجمه #كتب_إسلاميات_مترجمة_. #كتب_إسلاميات_مترجمات_. #كتب_إسلامية #كتب_كتب_إسلاميات_. #كتب__إسلامية_مترجمة #كتب_الفكر_الاسلامي_. #كتب_إنتشار_الإسلام_ #كتب_الفقه_الاسلامى_. #كتب_نواقض_الإسلام #كتب_محاضرات_إسلامية #كتب_موسوعة_إسلامية_ #كتب__الفقه_الاسلامي_pdf #كتب_لفقه_الاسلامي_pdf #كتب_الفقه_الاسلامي_pdf #كتب_منظور_اسلامي #كتب_محاضرة_اسلامية #كتب_منهج_التربية_الاسلامية #كتب_اليقظة_الإسلامية #كتب_الفكر_العربي_الإسلامي #كتب_اليقظة_الاسلامية_وحركات_التحرير #كتب_الفلسفة_الإسلامية
الترتيب:

#495

0 مشاهدة هذا اليوم

#1K

0 مشاهدة هذا الشهر

#35K

7K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 43.