📘 ❞ UBORA WA UISLAMU ❝ كتاب ــ محمد بن عبد الوهاب

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب UBORA WA UISLAMU ❝ ــ محمد بن عبد الوهاب 📖

█ _ محمد بن عبد الوهاب 0 حصريا كتاب UBORA WA UISLAMU 2024 UISLAMU: Allaah (Ta ́ala) amesema: "Leo Nimekukamilishieni Dini yenu na Nime kutimizieni neema Yangu Nimekuridhieni kwenu Uislamu uwe [ndio] " (05:03) "Sema: “Enyi watu! Ikiwa mna shaka kutokana yangu, basi [mimi] siabudu ambavyo mnaviabudu badala ya Allaah; lakini namwabudu Allaah Ambaye [siku moja] Atakufisheni " (10:104) "Enyi mlioamini! Mcheni muaminini Mtume Wake! Hapo Atakupeni sehemu mbili kati Rahmah Zake Atakujaalieni Nuru mnatembea nayo Akusameheeni ni Ghafuwrur Rahiym, Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu (57:28) al Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn ́Umar (Radhiya Allaahu ́anhumaa) ya kwamba (Swalla ́alayhi sallam) amesema: Fadhwl ul Islaam Muhammad bin ́Abdil Wahhaab "Mfano wenu nyinyi watu Kitabu kama mfano mtu mwenye kukodisha wafanyakazi akasema: "Ni nani katika anayetaka kunifanyiakazi kuanzia asubuhi mpaka mchana senti moja?" Mayahudi wakafanya hivo Halafu akasema: kunifanyia kazi kuanzia mpaka ́Aswr Manaswara Kisha katika nyinyi jua kuzama senti mbili?" Ndio manaswara wakakasirika kusema: kwa nini sisi ndio tufanye sana kupata ujira mdogo?" Akasema: "Nimepunguza kitu haki yenu?" Wakasema: "Hapana Ndipo "Hiyo fadhila yangu ninampa yule ninayemtaka "1 al Abu Hurayrah ́anh) amesema: "Allaah amewapoteza waliokuwa kabla yetu siku ijumaa wakapata jumamosi jumapili akatuleta akatuongoza Kadhalika watatufuata Qiyaamah Sisi mwisho dunia hii, wa kwanza "2 al mlolongo wapokezi wenye kupungua kwamba Mtume amesema: "Dini yenye kupendwa zaidi ule upwekeshaji mwepesi "3 Ubayy Ka ́b amesema: "Shikamaneni Njia Sunnah Hakuna mja kushikamana na Sunnah akamfikiria macho yake yakatiririka machozi kwa kumwogopa kisha aunguzwe Moto kushikamana 1 al (2268) 2 al (876) Muslim (855) 3 al ”al Adab al Mufrad” (1 108) Fadhwl Wahhaab كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana kuna Mungu mmoja tu ambaye Allah Muhammad ndiye Mjumbe Mwenyezi la pili kubwa ulimwenguni Nguzo za Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume wake Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
UBORA WA UISLAMU
كتاب

UBORA WA UISLAMU

ــ محمد بن عبد الوهاب

UBORA WA UISLAMU
كتاب

UBORA WA UISLAMU

ــ محمد بن عبد الوهاب

عن كتاب UBORA WA UISLAMU:


Allaah (Ta ́ala) amesema:

"Leo Nimekukamilishieni Dini yenu na Nime kutimizieni neema
Yangu na Nimekuridhieni kwenu Uislamu uwe [ndio] Dini yenu."
(05:03)


"Sema: “Enyi watu! Ikiwa mna shaka kutokana na Dini yangu, basi
[mimi] siabudu ambavyo mnaviabudu badala ya Allaah; lakini
namwabudu Allaah Ambaye [siku moja] Atakufisheni." (10:104)



"Enyi mlioamini! Mcheni Allaah na muaminini Mtume Wake! Hapo
Atakupeni sehemu mbili kati ya Rahmah Zake na Atakujaalieni Nuru
mnatembea nayo na Akusameheeni - Allaah ni Ghafuwrur-Rahiym,
Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu." (57:28)
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn ́Umar (Radhiya Allaahu ́anhumaa) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab





"Mfano wenu nyinyi na watu wa Kitabu ni kama mfano mtu mwenye kukodisha
wafanyakazi na akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia
asubuhi mpaka mchana kwa senti moja?" Mayahudi wakafanya hivo. Halafu
akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyia kazi kuanzia mchana mpaka
́Aswr kwa senti moja?" Manaswara wakafanya hivo. Kisha akasema: "Ni nani katika
nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia ́Aswr mpaka jua kuzama kwa senti
mbili?" Ndio nyinyi. Mayahudi na manaswara wakakasirika na kusema: "Ni kwa
nini sisi ndio tufanye kazi sana na kupata ujira mdogo?" Akasema: "Nimepunguza
kitu katika haki yenu?" Wakasema: "Hapana." Ndipo akasema: "Hiyo ni fadhila
yangu ninampa yule ninayemtaka."1
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ́anh) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Allaah amewapoteza waliokuwa kabla yetu siku ya ijumaa. Mayahudi wakapata
jumamosi na manaswara jumapili. Allaah akatuleta na akatuongoza siku ya ijumaa.
Kadhalika watatufuata siku ya Qiyaamah. Sisi ndio wa mwisho katika dunia hii, wa
kwanza siku ya Qiyaamah."2
al-Bukhaariy amepokea kwa mlolongo wa wapokezi wenye kupungua kwamba
Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Dini yenye kupendwa zaidi na Allaah ni ule upwekeshaji mwepesi."3
Ubayy bin Ka ́b (Radhiya Allaahu ́anh) amesema:
"Shikamaneni na Njia na Sunnah. Hakuna mja mwenye kushikamana na Njia na
Sunnah akamfikiria Allaah mpaka macho yake yakatiririka machozi kwa
kumwogopa Allaah kisha aunguzwe na Moto. Hakuna mja mwenye kushikamana
1
al-Bukhaariy (2268).
2
al-Bukhaariy (876) na Muslim (855).
3
al-Bukhaariy katika ”al-Adab al-Mufrad” (1/108).

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab






الترتيب:

#5K

0 مشاهدة هذا اليوم

#13K

28 مشاهدة هذا الشهر

#46K

6K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 35.
المتجر أماكن الشراء
محمد بن عبد الوهاب ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث