📘 ❞ SIFA ZA MKE MWEMA ❝ كتاب ــ عبدالرازق بن عبد المحسن العباد

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب SIFA ZA MKE MWEMA ❝ ــ عبدالرازق بن عبد المحسن العباد 📖

█ _ عبدالرازق بن عبد المحسن العباد 0 حصريا كتاب SIFA ZA MKE MWEMA عن موقع دار الإسلام 2024 MWEMA: Utangulizi Himidi zote ni Zake Allaah Tunamhimidi na kumtaka msaada kumuomba mswamaha tunatubu Kwake Tunajikinga kwake kutokana shari ya nafsi zetu matendo yetu maovu Mwenye Kuongozwa hakuna wa kumpoteza Kupotezwa wa kumwongoza Nashuhudia kwamba hapana mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mmoja asiyekuwa mshirika Nashuhudia kwamba Muhammad mja Wake Mtume Wake, Swalah salaam zimwendee yeye, ahli zake Maswahabaha wote Amma ba ́ad Maudhui Risaalah hii iliyo anuani ”Sifa za mke mwema” hayamuhusu tu msichana mdogo ambaye yuko katika njia kutaka kuolewa anataka kujua sifa ambazo anatakiwa kuwa nazo ili ajiandae nazo, kuishi na kuzitimiza Vilevile tu mwanamke ameolewa na sifa mwema aweze kuzidhibiti maisha yake mwenye upungufu kutibu upungufu wake kujisahihisha mwenyewe ndoa tukufu Ni wito ukumbusho ulio jumla kuliko hivyo baba wasichana wanawake ambao wako usimamizi wapate kukuwa vizuri malezi mazuri ndoa ambayo inaafikiana Matakwa (Swalla Allaahu ́alayhi sallam) Kwa kupitia kalima itakuwa usaidizi kuweza kuwakumbusha vidhibiti vya Shari ́ah sifa inatakikana msichana juu Kadhalika mama mchungaji nyumba yake na kuwatengeneza Wasichana wengi wanakuwa tabia na mbalimbali wamepata kutoka wamama zao Sifa Za Mke Mwema Shaykh ́Abdur Razzaaq bin ́Abdil Muhsin Kitabu kinazunguzia namna kuzipata hizo كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna Mungu mmoja Allah Muhammad ndiye Mjumbe Mwenyezi la pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
SIFA ZA MKE MWEMA
كتاب

SIFA ZA MKE MWEMA

ــ عبدالرازق بن عبد المحسن العباد

عن موقع دار الإسلام
SIFA ZA MKE MWEMA
كتاب

SIFA ZA MKE MWEMA

ــ عبدالرازق بن عبد المحسن العباد

عن موقع دار الإسلام
عن كتاب SIFA ZA MKE MWEMA:
Utangulizi...................................................................


Himidi zote ni Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na kumuomba
mswamaha na tunatubu Kwake. Tunajikinga kwake kutokana na shari ya nafsi
zetu na matendo yetu maovu. Mwenye Kuongozwa na Allaah hakuna wa
kumpoteza. Mwenye Kupotezwa na Allaah hakuna wa kumwongoza.
Nashuhudia ya kwamba hapana mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki
isipokuwa Allaah Mmoja asiyekuwa na mshirika. Nashuhudia ya kwamba
Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake, Swalah na salaam zimwendee yeye,
ahli zake na Maswahabaha zake wote.
Amma ba ́ad...
Maudhui ya Risaalah hii iliyo na anuani ”Sifa za mke mwema” hayamuhusu tu
msichana mdogo ambaye yuko katika njia ya kutaka kuolewa na anataka kujua
sifa ambazo mke anatakiwa kuwa nazo ili ajiandae nazo, kuishi nazo na
kuzitimiza.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke ambaye ameolewa ambaye anataka kuwa na
sifa za mke mwema ili aweze kuzidhibiti na kuishi nazo katika maisha yake.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke mwenye upungufu ili aweze kutibu
upungufu wake na kujisahihisha mwenyewe na ndoa yake tukufu.
Ni wito na ukumbusho ulio jumla kuliko hivyo.
Ni ukumbusho kwa baba ambaye anataka wasichana zake na wanawake ambao
wako katika usimamizi wake wapate kukuwa vizuri na malezi mazuri na ndoa
ambayo inaafikiana na Matakwa ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam). Kwa
kupitia kalima hii itakuwa ni usaidizi kwake kuweza kuwakumbusha vidhibiti
vya Shari ́ah na sifa ambazo inatakikana kwa msichana kukuwa juu yake.
Kadhalika ni ukumbusho kwa mama ambaye ni mchungaji katika nyumba yake
na wasichana wake na kuwatengeneza. Wasichana wengi wanakuwa kwa tabia
na sifa mbalimbali ambazo wamepata kutoka kwa wamama zao.

Sifa Za Mke Mwema

Shaykh ́Abdur-Razzaaq bin ́Abdil-Muhsin















Kitabu hii kinazunguzia sifa za mke mwema na namna ya kuzipata sifa hizo.
الترتيب:

#5K

1 مشاهدة هذا اليوم

#87K

7 مشاهدة هذا الشهر

#45K

6K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 30.
المتجر أماكن الشراء
عبدالرازق بن عبد المحسن العباد ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
موقع دار الإسلام 🏛 الناشر
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث