📘 ❞ Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ كتاب ــ أبو أمينة بلال فيليبس

مقارنة الأديان - 📖 ❞ كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ ــ أبو أمينة بلال فيليبس 📖

█ _ أبو أمينة بلال فيليبس 0 حصريا كتاب Ujumbe wa kweli Yesu Kristo 2024 Kristo: esu anawakilisha akiwa ni kiungo cha kuunganisha baina ya dini mbili zenye wafuasi wengi zaidi duniani leo hii; Ukristo na Uislamu Somo lifuatalo, linalohusu na Haiba yake limeegemea katika hicho Inatarajiwa kuwa, kwa kupitia somo hili, wote wawili; Waislamu Wakristo watafahamu vizuri ukuu wa Yesu umuhimu ujumbe wake Hata hivyo, ili tuutambulishe barabara Yesu Kristo, mtazamo usio upendeleo ulibidi udumishwe kipindi cha kufanya uchunguzi wetu Hisia zetu zisiruhusiwe kuweka kiwingu kwenye uoni hiyo, kutupofua tusiuone ukweli Lazima tuyatazame masuala mazima kimantiki tuutenganishe uepukane na uongo msaada Mungu Mwenye nguvu Tukiangalia dini za imani mbalimbali upotovu duniani, moyo kuzipenda unaowafanya zake waziunge mkono hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao hawawezi kuugundua sababu ya upofu misimamo yao juu ya zao Ufuasi wao king`ang`anizi, kawaida hauegemei ufahamu kiakili juu mafundisho, bali unategemea utamaduni wenye vishawishi vya kihisia Kwa walilelewa katika familia au jamii maalum, wanashikamana ya jamii wakiamini wanauunga mkono Njia pekee inayoweza kuufikia kitu chochote kile ni kukijongelea mfumo maalamu kutumia akili Kwanza, tuupime kisha tunauhukumu alizotupa Mungu Katika ulimwengu maada, kimsingi ndizo zinazowapambanua wanadamu wanyama, ifanyayokazi vizuri katika silika (maumbile) yake Baada kuubainisha bila kupendelea, hapo ndipo tujibebeshe majukumu huo Ndio, kuna nafasi msimamo kihisia, lakini wa kihisia lazima uje baada ufahamu kadhia husika, kisha mtu ajiandae kiroho kuutetea kwa juhudi مقارنة الأديان مجاناً PDF اونلاين الدين المقارن هو أحد فروع دراسة التي تهتم بالموازنة المنظمة للعقائد والممارسات أديان العالم هذا ركن خاص بالكتب المجانيه مجال وما يتعلق بها

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo
كتاب

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo

ــ أبو أمينة بلال فيليبس

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo
كتاب

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo

ــ أبو أمينة بلال فيليبس

عن كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo:

esu Kristo anawakilisha akiwa ni kiungo cha kuunganisha baina ya
dini mbili zenye wafuasi wengi zaidi duniani leo hii; Ukristo na
Uislamu. Somo lifuatalo, linalohusu Ujumbe wa Yesu na Haiba yake
limeegemea katika kiungo hicho. Inatarajiwa kuwa, kwa kupitia somo
hili, wote wawili; Waislamu na Wakristo watafahamu vizuri ukuu wa
Yesu na umuhimu wa ujumbe wake.
Hata hivyo, ili tuutambulishe barabara ujumbe wa kweli wa Yesu
Kristo, mtazamo usio na upendeleo ulibidi udumishwe katika kipindi cha
kufanya uchunguzi wetu. Hisia zetu zisiruhusiwe kuweka kiwingu
kwenye uoni wetu na kwa hiyo, kutupofua tusiuone ukweli. Lazima
tuyatazame masuala mazima kimantiki na tuutenganishe ukweli uepukane
na uongo kwa msaada wa Mungu Mwenye nguvu.
Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu
duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi zake waziunge
mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao
hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu
ya imani zao. Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei
ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni
wenye nguvu na vishawishi vya kihisia. Kwa kuwa walilelewa katika
familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya
jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli.
Njia pekee inayoweza kuufikia ukweli juu ya kitu chochote kile ni
kukijongelea kitu hicho kupitia mfumo maalamu na kwa kutumia akili.
Kwanza, tuupime ushahidi kisha tunauhukumu kwa akili alizotupa
Mungu. Katika ulimwengu wa maada, kimsingi ni akili ndizo
zinazowapambanua wanadamu na wanyama, akili ifanyayokazi vizuri
katika silika (maumbile) yake. Baada ya kuubainisha ukweli bila
kupendelea, hapo ndipo tujibebeshe majukumu ya ukweli huo kihisia.
Ndio, kuna nafasi ya kuwa na msimamo wa kihisia, lakini msimamo wa
kihisia lazima uje baada ya ufahamu wa kiakili juu ya kadhia husika,
kisha ndipo mtu ajiandae kiakili na kiroho kuutetea ukweli huo kwa
juhudi.

الترتيب:

#5K

0 مشاهدة هذا اليوم

#37K

10 مشاهدة هذا الشهر

#26K

9K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 72.
المتجر أماكن الشراء
أبو أمينة بلال فيليبس ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث