📘 ❞ MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA ❝ كتاب ــ عبد الله بن محمد السلفي اصدار 1997

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA ❝ ــ عبد الله بن محمد السلفي 📖

█ _ عبد الله بن محمد السلفي 1997 حصريا كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA 2024 KISHIA: Shukrani zote zinamstahiki Allaah peke yake, Rahma na amani zimwendee Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) pamoja ahli zake Swahaba wake wote Amma ba’ad: Hakika sababu za msingi zilizonipelek ea kuandika kitabu hiki hali iliyojionyesha ya kushamiri kwa harakati Raafidhw ah kuwalingania watu katika dhehebu hili potofu haraka ti hizi zimekuwa kiulimwengu, kutokana hatari kubwa kundi kwa dini Uislamu kutokana hali kughafilika kuji sahau Waislamu wengi kundi hili, na itikadi yao iliyojaa ushiri kina, kuitukana Qur aan na Maswahaba (Radhi ziwe juu yao) kupituka mipaka juu Maimamu wao, ndio maana nimeazimia kuandika kuyajibu mambo yanayowatatiza kuhusu muhtasari, nikufuata nyayo Shaykh wetu ́Abdullaah bin ́Abdir Rahmaan Al Jibriyn (Allaah Amrehemu) katika chake "At Ta’aliyqaat ́alaa Matni lumu ́atil I’itiqaad" kunukuu vitabu vya Raafidhwah ambavyo ni maarufu mashuhuri kwao, Ahlus Sunnah miongoni mwa wema waliotangulia waliokuja baaada yao ambao waliwajibu kubainisha ubovu itikad i zao zilizosimama ushirikina, uongo, kuchupa mipaka, matusi Na nimejaribu kadiri uwezo wang u kuwasimamishia hoja, kupitia vitabu vyao wanavyov itegemea, kama alivyosema Ibraahiym Sulaymaan Ja b haan (Allaah Amrehemu) "Nitakusimamishia hoja mdomo wako ewe Shi'a ” Mwisho namuomba Awanufaishe ku pitia wenye mazingatio kama Allaah: www alhidaaya com "Hakika hayo mna ukumbusho kuwa nyoyo zinazozingatia, au mwenye kutega sikio moyo wake uko haadhwir" [Qaaf 50: 37] Natoa shukrani kila al iyechangia kitabu hiki, Awalipe la kheri aman i zimuendee bwana Muhammad ahli Kitabu ina zungumzia batili kishia كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana kuna Mungu mmoja tu ambaye Allah ndiye Mjumbe Mwenyezi pili ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini uovu Kufanya hivyo " Ni pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA
كتاب

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA

ــ عبد الله بن محمد السلفي

صدر 1997م
MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA
كتاب

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA

ــ عبد الله بن محمد السلفي

صدر 1997م
عن كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA:
Shukrani zote zinamstahiki Allaah
peke yake, Rahma na amani zimwendee
Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) pamoja na ahli zake na Swahaba
wake wote.
Amma ba’ad:
Hakika sababu za msingi zilizonipelek
ea kuandika kitabu hiki na hali
iliyojionyesha ya kushamiri
kwa harakati za Raafidhw
ah za kuwalingania watu
katika dhehebu hili potofu na haraka
ti hizi zimekuwa kiulimwengu, na
kutokana na hatari kubwa ya kundi hili kwa dini ya Uislamu na kutokana na
hali ya kughafilika na kuji
sahau kwa Waislamu wengi
kutokana na hatari ya
kundi hili, na kutokana na
itikadi yao iliyojaa ushiri
kina, na kuitukana Qur-aan
na Maswahaba (Radhi za Allaah ziwe
juu yao) na kupituka mipaka juu ya
Maimamu wao, ndio maana nimeazimia
kuandika kitabu hiki na kuyajibu
mambo yanayowatatiza watu kuhusu
kundi hili kwa muhtasari, nikufuata
nyayo za Shaykh wetu Shaykh ́Abdullaah bin ́Abdir-Rahmaan Al-Jibriyn
(Allaah Amrehemu) katika kitabu chake
"At-Ta’aliyqaat ́alaa Matni lumu ́atil
I’itiqaad" na kwa kunukuu katika vitabu
vya Raafidhwah ambavyo ni maarufu
na mashuhuri kwao, na
katika vya Ahlus-Sunnah miongoni mwa wema
waliotangulia na waliokuja baaada
yao ambao waliwajibu Raafidhwah na
kubainisha ubovu wa itikad
i zao zilizosimama juu ya ushirikina, na uongo, na
kuchupa mipaka, na matusi.
Na nimejaribu kwa kadiri ya uwezo wang
u katika kitabu hiki kuwasimamishia
hoja, kupitia vitabu vyao wanavyov
itegemea, kama alivyosema Shaykh
Ibraahiym bin Sulaymaan Al-Ja
b-haan (Allaah Amrehemu)
"Nitakusimamishia
hoja kupitia mdomo
wako ewe Shi'a.”
Mwisho namuomba Allaah Awanufaishe ku
pitia kitabu hiki wenye mazingatio
kama alivyosema Allaah:

www.alhidaaya.com
"Hakika katika hayo mna ukumbusho
kwa wenye kuwa na nyoyo
zinazozingatia, au mwenye kutega sikio na
hali moyo wake uko haadhwir"
[Qaaf 50: 37].
Natoa shukrani kwa kila al
iyechangia katika kitabu
hiki, namuomba Allaah
Awalipe kila la kheri. Rahma na aman
i zimuendee bwana wetu Muhammad na
ahli zake na Maswahaba zake.





Kitabu hiki ina zungumzia itikadi batili za kishia.
الترتيب:

#7K

0 مشاهدة هذا اليوم

#42K

9 مشاهدة هذا الشهر

#33K

8K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 51.
المتجر أماكن الشراء
عبد الله بن محمد السلفي ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث