📘 ❞ BID acute AH ZA JENEZA ❝ كتاب ــ محمد ناصر الدين الألباني

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب BID acute AH ZA JENEZA ❝ ــ محمد ناصر الدين الألباني 📖

█ _ محمد ناصر الدين الألباني 0 حصريا كتاب BID acute AH ZA JENEZA 2024 JENEZA: Kitabu hiki kinazunguzia bid’ah uzushi katika mambo ya jeneza Ahkaam ul Janaaiz Mlango: Bid ́ah Za Jeneza Imaam Muhammad Naaswir ud Diyn al Albaaniy Kabla kufa 03 Baada 04 Kuosha maiti 07 Sanda na kutoka 08 Kumswalia 11 Kuzika yanayofungamana kuzika 12 Taazia (kutoa pole) taazia 14 Kuyetembelea makaburi 17 Mlango – Bid za jeneza Imaam al Albaaniy 3 1 Baadhi watu wanaitakidi kwamba Mashaytwaan wanamjia yule ambaye anataka kukata roho kwa sura wazazi wake wawili, mfano wa mayahudi na manaswara ili wamletee wao kila aina mila isiyokuwa Uislamu ili wampoteze Anasema Ibn Hajar Haythamiy ”Fataawaa Hadiythiyyah” akinukuu as Suyuutwiy: ”Hilo halikupokelewa ” 2 Kuweka msahafu kwenye kichwa cha anayetaka 3 Kumlakinia1 akariri tamko la Mtume maimamu Ahl Bayt ( ́alayhimus Salaam) 4 Kumsomea Suurat Yaasiyn kakata 5 Kumuelekeza mwenye Qiblah Hili amelikataza Sa ́iyd Musayyib كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana kuna Mungu mmoja tu ambaye ni Allah ndiye Mjumbe Mwenyezi pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
BID acute AH ZA JENEZA
كتاب

BID acute AH ZA JENEZA

ــ محمد ناصر الدين الألباني

BID acute AH ZA JENEZA
كتاب

BID acute AH ZA JENEZA

ــ محمد ناصر الدين الألباني

عن كتاب BID acute AH ZA JENEZA:
Kitabu hiki kinazunguzia bid’ah uzushi katika mambo ya jeneza

Ahkaam-ul-Janaaiz

Mlango:

Bid ́ah Za Jeneza

Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn

al-Albaaniy

Kabla ya kufa.............................................................................03
Baada ya kufa.............................................................................04
Kuosha maiti..............................................................................07
Sanda na kutoka na jeneza......................................................08
Kumswalia.................................................................................11
Kuzika na yanayofungamana na kuzika..............................12
Taazia (kutoa pole) na yanayofungamana na taazia..........14
Kuyetembelea makaburi.........................................................17

Mlango – Bid ́ah za jeneza
Imaam al-Albaaniy

3


1- Baadhi ya watu wanaitakidi kwamba Mashaytwaan wanamjia yule ambaye
anataka kukata roho kwa sura za wazazi wake wawili, mfano wa mayahudi na
manaswara ili wamletee wao kila aina ya mila isiyokuwa ya Uislamu ili

wampoteze. Anasema Ibn Hajar al-Haythamiy katika ”Fataawaa al-
Hadiythiyyah” akinukuu kutoka kwa as-Suyuutwiy:

”Hilo halikupokelewa.”
2- Kuweka msahafu kwenye kichwa cha yule anayetaka kukata roho.

3- Kumlakinia1 maiti akariri tamko la Mtume na maimamu wa Ahl-ul-Bayt ( ́alayhimus-
Salaam).

4- Kumsomea Suurat Yaasiyn yule anayetaka kakata roho.
5- Kumuelekeza yule mwenye kukata roho Qiblah.
Hili amelikataza Sa ́iyd Ibn Musayyib.
الترتيب:

#4K

2 مشاهدة هذا اليوم

#32K

16 مشاهدة هذا الشهر

#33K

8K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 24.
المتجر أماكن الشراء
محمد ناصر الدين الألباني ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث