📘 ❞ SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA ❝ كتاب ــ محمد صالح المنجد

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA ❝ ــ محمد صالح المنجد 📖

█ _ محمد صالح المنجد 0 حصريا كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA 2024 SWALA: Kila sifa kamilifu nizake Allah mtukufu ambae katuchagulia uislamu kuwa ndio dini ya kweli, na akaifanya starehe ya muislamu inapatikana katika swala Swala amani zimuendee Mtume Muhammad s a w ambae kaletwa ili kutufafanulia hii kiigizo chema, ziwe juu Ahali zake maswahaba wote wenye kumfuata mpaka siku Qiyama Baada kumshukuru kumtakia rehma mtukufu wetu wa daraja kuna mambo mengi ambayo yanayo mfanya muislam asiwe unyenyekevu katika utekelezaji ibada Unyenyekevu ni moja sababu za kukubaliwa swala, muislamu anapo kosa unyenyekevu inaweza kuwa kuto kukubaliwa Hayo yamekuja hadithi mashuhuri kwa jina la (Musiu swalah) yani Hadithi asie juwa kuswali Hadithi hiyo nikama ifuatavyo: Maana nikwamba: ((Kutoka Abuu Hurayra radhi yake hakika aliingia msikitini akaswali alipomaliza kuswali akakaa pembezoni mwa msikiti kisha akaingia bwana mmoja akaswali, baada akaenda kumsalimia Mtume s w, akamwambia: rudia kwani haujaswali chochote, akarejea kama alivyo swali mwanzo, akamwambia: hauja swali chochote, akarudi kuswali mwanzo, akaenda kwa akamsalimia, akamwambia mtume: rudia swala haujaswali mara tatu Akasema yule bwana ninamuapa kakutuma kwa haqqi sijui zaidi hivyo naomba unifundishe, Mtume akasema: utakapo simama kwaajili toa takbira, soma sura nyepesi Qur’an, rukuu mpaka utulizane rukuu, inuka uwe sawasawa kusimama, sujudu utulizane katika sijda, kutoka shida mkao, Fanya katika swala yako yote)) (Albukhary No760 Muslim No397) Subhana Allah! Tatizo lililo mpata swahaba huyu linaonyesha kuwa alikuwa akiswali haraka bila unyenyekevu, nahii ni Kitabu hiki kinazungumzia Sababu Unyenyekevu Swala Mambo ondoa atika كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu Mungu mmoja tu ambaye ndiye Mjumbe Mwenyezi pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo tano Uisilamu kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume wake Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema ni: "Mwamini amini malaika wake, inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA
كتاب

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA

ــ محمد صالح المنجد

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA
كتاب

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA

ــ محمد صالح المنجد

عن كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA:
Kila sifa kamilifu nizake Allah mtukufu ambae katuchagulia
uislamu kuwa ndio dini ya kweli, na akaifanya starehe ya
muislamu kuwa inapatikana katika swala.
Swala na amani zimuendee Mtume Muhammad s.a.w. ambae
kaletwa na Allah ili kutufafanulia dini hii na kuwa ndio kiigizo
chema, na ziwe juu ya Ahali zake na maswahaba zake na wote
wenye kumfuata mpaka siku ya Qiyama.
Baada ya kumshukuru Allah mtukufu na kumtakia rehma
mtukufu wetu wa daraja Mtume Muhammad s.a.w. kuna mambo
mengi ambayo yanayo mfanya muislam asiwe na unyenyekevu
katika utekelezaji wa ibada ya swala.
Unyenyekevu katika swala ni moja katika sababu za kukubaliwa
swala, muislamu anapo kosa unyenyekevu katika swala inaweza
kuwa sababu ya kuto kukubaliwa swala.
Hayo yamekuja katika hadithi mashuhuri kwa jina la (Musiu
swalah) yani Hadithi ya asie juwa kuswali.
Hadithi hiyo nikama ifuatavyo:





Maana ya hadithi hii nikwamba:
((Kutoka kwa Abuu Hurayra radhi za Allah ziwe juu yake
hakika Mtume s.a.w. aliingia msikitini-akaswali alipomaliza
kuswali akakaa pembezoni mwa msikiti-kisha akaingia bwana
mmoja akaswali, baada ya kuswali akaenda kumsalimia Mtume
s.a.w, Mtume akamwambia: rudia swala kwani haujaswali
chochote, akarejea kuswali akaswali kama alivyo swali
mwanzo, kisha akaenda kumsalimia Mtume s.a.w.
akamwambia: rudia swala kwani hauja swali chochote, akarudi
kuswali akaswali kama alivyo swali mwanzo, kisha akaenda
kwa Mtume s.a.w. akamsalimia, akamwambia mtume: rudia
swala kwani haujaswali chochote, mara ya tatu.
Akasema yule bwana ninamuapa Allah ambae kakutuma kwa
haqqi sijui kuswali zaidi ya hivyo naomba unifundishe,
Mtume s.a.w. akasema: utakapo simama kwaajili ya swala toa
takbira, kisha soma sura nyepesi katika Qur’an, kisha rukuu
mpaka utulizane katika rukuu, kisha inuka mpaka uwe
sawasawa katika kusimama, kisha sujudu mpaka utulizane
katika sijda, kisha inuka kutoka katika shida mpaka utulizane
katika mkao, kisha Mtume akamwambia: Fanya hivyo katika
swala yako yote))
(Albukhary No760 na Muslim No397).
Subhana Allah! Tatizo lililo mpata swahaba huyu linaonyesha
kuwa alikuwa akiswali haraka haraka bila unyenyekevu, nahii ni











Kitabu hiki kinazungumzia Sababu 33 za Unyenyekevu katika Swala na Mambo yanayo ondoa Unyenyekevu atika Swala.
الترتيب:

#2K

0 مشاهدة هذا اليوم

#102K

5 مشاهدة هذا الشهر

#44K

6K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 27.
المتجر أماكن الشراء
محمد صالح المنجد ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث