📘 ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ كتاب ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen 📖

█ _ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen 0 حصريا كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU 2024 YETU: Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Kuwepo Kwake Juu 'Al Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Kushuka, Iraada (Atakavyo Allah), Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono, Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Allah, Makhalifa Waongofu, Siku Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Kaburini, Adhabu Ya Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Baadhi Faida, Matunda Kuamini Matunda Kuviamini Vitabu, Matunda Kuiamini Ya, Qiyama, Qadar UTANGULIZI Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho mwema nikwawamchao hapana uadui isipokuwa kwa madhalimu Nashuhudia kuwa anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah Peke yake Asiye mshirika Mwenye Ufalme haki iliyo wazi nashuhudia (s a w) mjumbe wake Mtume wake nawa mwisho wajumbe ni kiongozi wacha Mungu wetu mswalie msalimie Mtume wako huyu pamoja Masahaba kila atakayemfuata kwa wema uongofu mpaka ya Qiyama Amma baad Kitabu hiki kinazungumzia: sahihi muislam, kinazungumzia pia imani kweli kumuamini Malaika Vitabu vyake Mitume wake, matunda yake, malipo wenye kumpwekesha Mweyezi كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu katika Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna mmoja tu ambaye ndiye Mjumbe Mwenyezi la pili kubwa ulimwenguni Nguzo za Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini zake, vitabu vyake, Mwisho kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika siku inayofuata uamini uovu Kufanya hivyo " Ni Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
HII NDIYO ITIKADI YETU
كتاب

HII NDIYO ITIKADI YETU

ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

HII NDIYO ITIKADI YETU
كتاب

HII NDIYO ITIKADI YETU

ــ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

عن كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU:
Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.



Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.
الترتيب:

#2K

1 مشاهدة هذا اليوم

#52K

8 مشاهدة هذا الشهر

#36K

7K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 37.
المتجر أماكن الشراء
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث