📘 ❞ Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha ❝ كتاب ــ Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz اصدار 2015

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha ❝ ــ Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz 📖

█ _ Abdul Aziz bin Abdullah Baaz 2015 حصريا كتاب Namna ya swala mtume saw na kutawadha 2024 kutawadha: Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema amani zimwendee mja wake Mtume wetu Muhammad pamoja na familia yake Maswahaba zake Amma baad Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya Mtume (s a w), nimekusudia kuileta kila Muislamu mwanaume na mwanamke ili ajitahidi atakae soma kitabu hiki amuige Mtume (s w) ajili kufanyia kazi w): (Swalini kama mlivyo niona nikiswali) Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari Ni juu msomaji kufuata haya: 1: AUKAMILISHE UDHU Nako kama alivyo amrisha kwa kauli tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama Sala basi osheni nyuso zenu, mikonoyenu mpaka vifundoni, mpake vichwa vyenu, miguu yenu vifundoni ) (Al Maida: 6) Na kauli (Haikubaliwi bila ya kujitwaharisha) Ameipokea Abuu Daud Tirmidhiy, na akaisahihisha Shekh Al baniy (r h) udhu unakuwa ifuatavyo: 1: Anuwie ndani moyo kutamka niya, kwa sababu hakutamka niya wakati wa kwake wala wala katika ibada yoyote, sababu Kitabu kinaelezea sifa s w jinsi kutawadha, nizawadi waislam wote wanaotaka kumuiga كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna dini kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu kuna mmoja tu ambaye Allah ndiye Mjumbe la pili kubwa ulimwenguni Nguzo za Uislamu: Nguzo tano Uisilamu kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia alisema hiyo ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما الإسلام واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha
كتاب

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha

ــ Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz

صدر 2015م
Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha
كتاب

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha

ــ Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz

صدر 2015م
عن كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha:
Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema na amani
zimwendee mja wake na Mtume wake Mtume wetu Muhammad pamoja
na familia yake na Maswahaba zake.
Amma baad.
Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya swala ya
Mtume (s.a.w), nimekusudia kuileta kwa kila Muislamu mwanaume na
mwanamke ili ajitahidi kila atakae soma kitabu hiki amuige Mtume
(s.a.w) kwa ajili ya kufanyia kazi maneno yake Mtume (s.a.w): (Swalini
kama mlivyo niona nikiswali). Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari.
Ni juu ya msomaji kufuata haya:
1: AUKAMILISHE UDHU.
Nako ni kutawadha kama alivyo amrisha Mwenyezi Mungu kwa
kauli yake tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala
basi osheni nyuso zenu, na mikonoyenu mpaka vifundoni, na mpake
vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni...). (Al-Maida: 6).
Na kauli ya Mtume (s.a.w): (Haikubaliwi swala bila ya
kujitwaharisha). Ameipokea hadithi hii Imamu Abuu Daud na Tirmidhiy,
na akaisahihisha Shekh Al-baniy (r.h).
Na udhu unakuwa kama ifuatavyo:
1: Anuwie kutawadha ndani ya moyo wake bila ya kutamka niya,
kwa sababu Mtume (s.a.w) hakutamka niya wakati wa kutawadha kwake
wala ndani ya swala yake wala katika ibada yake yoyote, kwa sababu

.


Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume s.a.w . na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume s.a.w katika swala na udhu.
الترتيب:

#8K

0 مشاهدة هذا اليوم

#45K

16 مشاهدة هذا الشهر

#33K

8K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 10.
المتجر أماكن الشراء
Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية