📘 ❞ Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah ❝ كتاب ــ صالح بن فوزان الفوزان اصدار 2017

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 ❞ كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah ❝ ــ صالح بن فوزان الفوزان 📖

█ _ صالح بن فوزان الفوزان 2017 حصريا كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari kitabu cha Al Usulu AL Thalathah عن موقع دار الإسلام 2024 Thalathah: Utangulizi: Kaanza kwa kusema Bismi llahi Rrahmani Rrahim; Kwajina la Mwenyezi Mungu mwingi Rehma mwenye kurehemu Ameanza Mwenyezi Amrehemu risala hii kwa jina rehma kurehemu, kufuata kitabu mshindi na mtukufu, kwa sababu macho yako yakiangalia ndani ya msahafu kabla kila sura kuna (Bismi llahi Rrahim) Kuanzia neno hili vitabu nikufuata cha mtukufu, vilevile nabii Muhammad (s a w) Alikua a na mwambia muandishi a'ndike mwanzo barua wakati anapo watumia viongozi maraisi waliyoko mbali ana walingania Uislamu, anaanza kuandika: Kwajina Mwingi kurehemu Na alikua Mtume (s maz ungumzo yake maneno kwa: Rrahim, yaonyesha kuanza Rrahim ni sunna w), Nabii Sulaiman alipo muandikia Malkia Mfalme saba' Yemen ameanza kuandika M ungu mwenye kuruhemu: (Malkia akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu* Imetoka Sulaiman nayo ni : Kwajina Mwenye kurehemu* Msinifanyie jeuri, fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri) (An Naml: 29 31) Inatakiwakuanza Mwenye jambo lenye umuhimu, chenye thamani, risala Kwa wale ambao hawaanzi kwen ye vyao zao Mwenyezi Mungu kurehemu, hao wameacha kuto Mshindi huenda hiyo vitabu zao hazina baraka hakuna faida; kwa ikiwa hakuna kurehemu huondolewa faida Risala kwanza Maswala manne ambayo yameambatana Surati Al Asr, ILIMU Tambua akurehemu Hili linalo ashiria umuh imu mada, sema: Tambua: lina maana kwamba atakacho kwambia nimuhimu sana MWENYEZI MUNGU AKUREHEMU : Hii dua mtafutaji Ilimu, anawaombea watafutaji elimu awarehemu, awape zake, haya ndani upole kutoka mwalimu kwenda mwanafunzi, yeye mazuri njema, mpaka awaathiri hayo wamuelekee wao Lakini akianza ukali yasio faa jambo lina wakimbiza wana funzi , Kitabu hiki kinazungumzia masomo Tawhiid kimezungumzia: Walaa Balaa, uislam ndio dini Ibrahim, Niwajibu Mwanadamu amuabudu peke yake, kubwa alilo amrisha waja wake Tawhiidi, Nini ? كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu juu Masahaba Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Vitabu vya Shia Imani Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana Uislamu mmoja tu ambaye Allah ndiye Mjumbe pili ulimwenguni Nguzo za Uislamu: Nguzo tano Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile hadith aliiambia alisema ni: "Mwamini amini malaika wake, siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah
كتاب

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah

ــ صالح بن فوزان الفوزان

صدر 2017م عن موقع دار الإسلام
Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah
كتاب

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah

ــ صالح بن فوزان الفوزان

صدر 2017م عن موقع دار الإسلام
عن كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah:
Utangulizi:
Kaanza kwa
kusema Bismi llahi Rrahmani Rrahim; Kwajina la
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma mwenye kurehemu
.
Ameanza Mwenyezi Mungu Amrehemu risala hii kwa jina la
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu, kwa kufuata
kitabu cha Mwenyezi Mungu mshindi na mtukufu,
kwa sababu macho
yako yakiangalia ndani ya msahafu na kabla ya kila sura kuna (Bismi
llahi Rrahmani Rrahim)
.
Kuanzia neno hili katika risala na katika vitabu nikufuata kitabu
cha Mwenyezi Mungu mshindi na mtukufu, vilevile nabii Muhammad
(s.a.w) Alikua
-
a
na mwambia muandishi
-
a'ndike mwanzo wa kila
barua wakati anapo watumia viongozi na maraisi na waliyoko mbali
ana walingania katika Uislamu, anaanza kuandika:
Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma mwenye
kurehemu
.
Na alikua Mtume (s.a.w) anaanza maz
ungumzo yake na maneno yake
kwa: Bismi llahi Rrahmani Rrahim, yaonyesha kuanza kwa Bismi
llahi Rrahmani Rrahim ni sunna ya Mtume (s.a.w), vilevile Nabii
Sulaiman (s.a.w) alipo muandikia Malkia
-
Mfalme wa saba' Yemen
-
ameanza kuandika kwa jina la Mwenyezi M
ungu Mwingi wa rehma
mwenye kuruhemu: (Malkia akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika
nimeletewa barua tukufu* Imetoka kwa Sulaiman nayo ni
:
Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma Mwenye kurehemu*
Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye
kusalimu amri).
(An
-
Naml: 29
-
31).
Inatakiwakuanza na jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma
Mwenye kurehemu, katika kila jambo lenye umuhimu, na katika kila
kitabu chenye umuhimu na thamani, na katika kila risala
.
Kwa sababu hii wale ambao hawaanzi kwen
ye vitabu vyao na risala
zao kwa jina la Mwenyezi
Mungu Mwingi wa rehma Mwenye
kurehemu, hao wameacha sunna ya Mtume na kuto kufuata kitabu cha
Mwenyezi Mungu Mshindi na mtukufu, huenda kwa sababu hiyo
vitabu vyao na risala zao hazina baraka na ndani yake
hakuna faida;
kwa sababu ikiwa hakuna jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma
Mwenye kurehemu huondolewa faida
.
Risala ya kwanza Maswala manne ambayo yameambatana na Surati
Al
-
Asr,
ILIMU
Tambua Mwenyezi Mungu akurehemu
.
Hili ni neno linalo ashiria umuh
imu wa mada, anapo sema: Tambua:
lina maana ya kwamba atakacho kwambia nimuhimu sana
.
MWENYEZI MUNGU AKUREHEMU
:
Hii ni dua kwa mtafutaji wa Ilimu, anawaombea watafutaji wa elimu
Mwenyezi Mungu awarehemu, na awape rehma zake, maneno haya
ndani yake kuna
upole kutoka kwa mwalimu kwenda kwa
mwanafunzi, na kwamba yeye anaanza kwa maneno mazuri na dua
njema, mpaka awaathiri kwa maneno hayo na wamuelekee mwalimu
wao
.
Lakini mwalimu akianza maneno kwa ukali na maneno yasio faa
jambo hili lina wakimbiza
-
wana
funzi
-
,







Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?
الترتيب:

#15K

0 مشاهدة هذا اليوم

#108K

4 مشاهدة هذا الشهر

#44K

6K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 76.
المتجر أماكن الشراء
صالح بن فوزان الفوزان ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
موقع دار الإسلام 🏛 الناشر
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية
نتيجة البحث